1 Chronicles 7
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 The sons of Issachar: Tola, Puah, Jashub, and Shimron—four in all. | SWKCV 1 Wana wa Isakari walikuwa: Tola, Pua, Yashubu na Shimroni; wote ni wanne. |
| BSB 2 The sons of Tola: Uzzi, Rephaiah, Jeriel, Jahmai, Ibsam, and Shemuel, the heads of their families. In the days of David, 22,600 descendants of Tola were numbered in their genealogies as mighty men of valor. | SWKCV 2 Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yahmai, Ibsamu na Shemueli waliokuwa viongozi wa jamaa zao. Wakati wa utawala wa Mfalme Daudi, wazao wa Tola walioorodheshwa kama wapiganaji katika ukoo wao walikuwa watu 22,600. |
| BSB 3 The son of Uzzi: Izrahiah. The sons of Izrahiah: Michael, Obadiah, Joel, and Isshiah. All five of them were chiefs. | SWKCV 3 Mwana wa Uzi alikuwa: Izrahia. Wana wa Izrahia walikuwa: Mikaeli, Obadia, Yoeli na Ishia. Wote hawa watano walikuwa wakuu wao. |
| BSB 4 In addition to them, according to their genealogy, they had 36,000 troops for battle, for they had many wives and children. | SWKCV 4 Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi. |
| BSB 5 Their kinsmen belonging to all the families of Issachar who were mighty men of valor totaled 87,000, as listed in their genealogies. | SWKCV 5 Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000. |
| BSB 6 The three sons of Benjamin: Bela, Becher, and Jediael. | SWKCV 6 Wana watatu wa Benyamini walikuwa: Bela, Bekeri na Yediaeli. |
| BSB 7 The sons of Bela: Ezbon, Uzzi, Uzziel, Jerimoth, and Iri, heads of their families—five in all. There were 22,034 mighty men of valor listed in their genealogies. | SWKCV 7 Wana wa Bela walikuwa: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri; walikuwa viongozi wa jamaa zao; wote ni watano. Watu wapiganaji walioorodheshwa katika ukoo wao walikuwa 22,034. |
| BSB 8 The sons of Becher: Zemirah, Joash, Eliezer, Elioenai, Omri, Jeremoth, Abijah, Anathoth, and Alemeth; all these were Becher’s sons. | SWKCV 8 Wana wa Bekeri walikuwa: Zemira, Yoashi, Eliezeri, Elioenai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Hawa wote walikuwa wana wa Bekeri. |
| BSB 9 Their genealogies were recorded according to the heads of their families—20,200 mighty men of valor. | SWKCV 9 Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200. |
| BSB 10 The son of Jediael: Bilhan. The sons of Bilhan: Jeush, Benjamin, Ehud, Chenaanah, Zethan, Tarshish, and Ahishahar. | SWKCV 10 Mwana wa Yediaeli alikuwa: Bilhani. Wana wa Bilhani walikuwa: Yeushi, Benyamini, Ehudi, Kenaana, Zethani, Tarshishi na Ahishahari. |
| BSB 11 All these sons of Jediael were heads of their families, mighty men of valor; there were 17,200 fit for battle. | SWKCV 11 Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani. |
| BSB 12 The Shuppites and Huppites were descendants of Ir, and the Hushites were descendants of Aher. | SWKCV 12 Washupimu na Wahupimu walikuwa wazao wa Iri. Wahushimu walikuwa wazao wa Aheri. |
| BSB 13 The sons of Naphtali: Jahziel, Guni, Jezer, and Shallum—the descendants of Bilhah. | SWKCV 13 Wana wa Naftali walikuwa: Yahzieli, Guni, Yeseri na Shalumu; hao walikuwa wazao wa Bilha. |
| BSB 14 The descendants of Manasseh: Asriel through his Aramean concubine. She also gave birth to Machir the father of Gilead. | SWKCV 14 Wana wa Manase walikuwa: Asirieli alikuwa mzao wake kutokana na suria wake wa Kiaramu. Huyu suria akamzaa Makiri baba wa Gileadi. |
| BSB 15 Machir took a wife from among the Huppites and Shuppites. The name of his sister was Maacah. Another descendant was named Zelophehad, who had only daughters. | SWKCV 15 Makiri akatwaa mke kutoka miongoni mwa Wahupimu na Washupimu. Jina la dada yake aliitwa Maaka. Mwana wa pili wa Makiri aliitwa Selofehadi, ambaye alikuwa na wasichana tu. |
| BSB 16 Machir’s wife Maacah gave birth to a son, and she named him Peresh. His brother was named Sheresh, and his sons were Ulam and Rekem. | SWKCV 16 Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu. |
| BSB 17 The son of Ulam: Bedan. These were the sons of Gilead son of Machir, the son of Manasseh. | SWKCV 17 Mwana wa Ulamu alikuwa: Bedani. Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase. |
| BSB 18 His sister Hammolecheth gave birth to Ishhod, Abiezer, and Mahlah. | SWKCV 18 Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla. |
| BSB 19 And these were the sons of Shemida: Ahian, Shechem, Likhi, and Aniam. | SWKCV 19 Wana wa Shemida walikuwa: Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu. |
| BSB 20 The descendants of Ephraim: Shuthelah, Bered his son, Tahath his son, Eleadah his son, Tahath his son, | SWKCV 20 Wana wa Efraimu walikuwa: Shuthela, ambaye alimzaa Beredi, Beredi akamzaa Tahathi, Tahathi akazaa Eleada, Eleada akamzaa Tahathi, |
| BSB 21 Zabad his son, and Shuthelah his son. Ezer and Elead were killed by the natives of Gath, because they went down to steal their livestock. | SWKCV 21 Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eleadi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wamekwenda huko kuwanyangʼanya mifugo yao. |
| BSB 22 Their father Ephraim mourned for many days, and his relatives came to comfort him. | SWKCV 22 Baba yao Efraimu akawaombolezea kwa siku nyingi, na jamaa zake wakaja kumfariji. |
| BSB 23 And again he slept with his wife, and she conceived and gave birth to a son. So he named him Beriah, because tragedy had come upon his house. | SWKCV 23 Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake. |
| BSB 24 His daughter was Sheerah, who built Lower and Upper Beth-horon, as well as Uzzen-sheerah. | SWKCV 24 Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera. |
| BSB 25 Additionally, Rephah was his son, Resheph his son, Telah his son, Tahan his son, | SWKCV 25 Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu, Reshefu akamzaa Tela, Tela akamzaa Tahani, |
| BSB 26 Ladan his son, Ammihud his son, Elishama his son, | SWKCV 26 Tahani akamzaa Ladani, Ladani akamzaa Amihudi, Amihudi akamzaa Elishama, |
| BSB 27 Nun his son, and Joshua his son. | SWKCV 27 Elishama akamzaa Nuni, Nuni akamzaa Yoshua. |
| BSB 28 Their holdings and settlements included Bethel and its villages, Naaran to the east, Gezer and its villages to the west, and Shechem and its villages as far as Ayyah and its villages. | SWKCV 28 Nchi zao na makazi yao yalijumuisha Betheli na vijiji vilivyouzunguka, Naarani ilikuwa upande wa mashariki, Gezeri pamoja na vijiji vyake upande wa magharibi, pia Shekemu na vijiji vyake hadi kufikia Aya na vijiji vyake. |
| BSB 29 And along the borders of Manasseh were Beth-shean, Taanach, Megiddo, and Dor, together with their villages. The descendants of Joseph son of Israel lived in these towns. | SWKCV 29 Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii. |
| BSB 30 The children of Asher: Imnah, Ishvah, Ishvi, Beriah, and their sister Serah. | SWKCV 30 Wana wa Asheri walikuwa: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. |
| BSB 31 The sons of Beriah: Heber, as well as Malchiel, who was the father of Birzaith. | SWKCV 31 Wana wa Beria walikuwa: Heberi na Malkieli, aliyekuwa baba yake Birzaithi. |
| BSB 32 Heber was the father of Japhlet, Shomer, and Hotham, and of their sister Shua. | SWKCV 32 Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao. |
| BSB 33 The sons of Japhlet: Pasach, Bimhal, and Ashvath. These were Japhlet’s sons. | SWKCV 33 Wana wa Yafleti walikuwa: Pasaki, Bimhali na Ashvathi. Hawa walikuwa wana wa Yafleti. |
| BSB 34 The sons of Shemer: Ahi, Rohgah, Hubbah, and Aram. | SWKCV 34 Wana wa Shemeri walikuwa: Ahi, Roga, Yehuba na Aramu. |
| BSB 35 The sons of his brother Helem: Zophah, Imna, Shelesh, and Amal. | SWKCV 35 Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali. |
| BSB 36 The sons of Zophah: Suah, Harnepher, Shual, Beri, Imrah, | SWKCV 36 Wana wa Sofa walikuwa: Sua, Harneferi, Shuali, Beri, Imra, |
| BSB 37 Bezer, Hod, Shamma, Shilshah, Ithran, and Beera. | SWKCV 37 Bezeri, Hodu, Shama, Shilsha, Ithrani na Beera. |
| BSB 38 The sons of Jether: Jephunneh, Pispa, and Ara. | SWKCV 38 Wana wa Yetheri walikuwa: Yefune, Pispa na Ara. |
| BSB 39 The sons of Ulla: Arah, Hanniel, and Rizia. | SWKCV 39 Wana wa Ula walikuwa: Ara, Hanieli na Risia. |
| BSB 40 All these were the descendants of Asher—heads of their families, choice and mighty men of valor, and chiefs among the leaders. The number of men fit for battle, recorded in their genealogies, was 26,000. | SWKCV 40 Hawa wote ndio waliokuwa wazao wa Asheri, viongozi wa jamaa zao, watu bora, mashujaa walio hodari na viongozi maarufu. Idadi ya watu waliokuwa tayari kwa vita, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa 26,000. |
Questions about 1 Chronicles 7? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.