1 Chronicles 25

Berean Standard Bible tier 2Kiswahili Contemporary Version tier 3
BSB

1 Additionally, David and the commanders of the army set apart some of the sons of Asaph, Heman, and Jeduthun to prophesy with the accompaniment of lyres, harps, and cymbals. The following is the list of the men who performed this service:

SWKCV

1 Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii:

BSB

2 From the sons of Asaph: Zaccur, Joseph, Nethaniah, and Asarelah. These sons of Asaph were under the direction of Asaph, who prophesied under the direction of the king.

SWKCV

2 Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.

BSB

3 From the sons of Jeduthun: Gedaliah, Zeri, Jeshaiah, Shimei, Hashabiah, and Mattithiah—six in all—under the direction of their father Jeduthun, who prophesied with the harp, giving thanks and praise to the LORD.

SWKCV

3 Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana.

BSB

4 From the sons of Heman: Bukkiah, Mattaniah, Uzziel, Shebuel, Jerimoth, Hananiah, Hanani, Eliathah, Giddalti, Romamti-ezer, Joshbekashah, Mallothi, Hothir, and Mahazioth.

SWKCV

4 Wana wa Hemani walikuwa: Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti na Romamti-Ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi.

BSB

5 All these sons of Heman the king’s seer were given him through the promises of God to exalt him, for God had given Heman fourteen sons and three daughters.

SWKCV

5 Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.

BSB

6 All these were under the direction of their fathers for the music of the house of the LORD with cymbals, harps, and lyres, for the service of the house of God. Asaph, Jeduthun, and Heman were under the direction of the king.

SWKCV

6 Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.

BSB

7 Together with their relatives, who were all trained and skillful in the songs of the LORD, they numbered 288.

SWKCV

7 Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288.

BSB

8 They cast lots for their duties, young and old alike, teacher as well as pupil.

SWKCV

8 Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.

BSB

9 The first lot, which was for Asaph, fell to Joseph, his sons, and his brothers—12 in all; the second to Gedaliah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

9 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, // wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, // yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12

BSB

10 the third to Zaccur, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

10 Ya tatu ikamwangukia Zakuri, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

11 the fourth to Izri, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

11 ya nne ikamwangukia Isri, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

12 the fifth to Nethaniah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

12 ya tano ikamwangukia Nethania, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

13 the sixth to Bukkiah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

13 ya sita ikamwangukia Bukia, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

14 the seventh to Jesarelah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

14 ya saba ikamwangukia Yesarela, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

15 the eighth to Jeshaiah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

15 ya nane ikamwangukia Yeshaya, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

16 the ninth to Mattaniah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

16 ya tisa ikamwangukia Matania, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

17 the tenth to Shimei, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

17 ya kumi ikamwangukia Shimei, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

18 the eleventh to Azarel, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

18 ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

19 the twelfth to Hashabiah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

19 ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

20 the thirteenth to Shubael, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

20 ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

21 the fourteenth to Mattithiah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

21 ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

22 the fifteenth to Jeremoth, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

22 ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

23 the sixteenth to Hananiah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

23 Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

24 the seventeenth to Joshbekashah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

24 ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

25 the eighteenth to Hanani, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

25 ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

26 the nineteenth to Mallothi, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

26 ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

27 the twentieth to Eliathah, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

27 ya ishirini ikamwangukia Eliatha, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

28 the twenty-first to Hothir, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

28 ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

29 the twenty-second to Giddalti, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

29 ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

30 the twenty-third to Mahazioth, his sons, and his brothers—12 in all;

SWKCV

30 ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, // wanawe na jamaa zake, 12

BSB

31 and the twenty-fourth to Romamti-ezer, his sons, and his brothers—12 in all.

SWKCV

31 ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, // wanawe na jamaa zake, 12.

Questions about 1 Chronicles 25? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.