2 John 1
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 The elder, To the chosen lady and her children, whom I love in the truth—and not I alone, but also all who know the truth— | SWKCV 1 Mzee: Kwa bibi mteule na watoto wake, niwapendao katika kweli, wala si mimi tu, bali na wale wote waijuayo kweli: |
| BSB 2 because of the truth that abides in us and will be with us forever: | SWKCV 2 kwa sababu ya ile kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kukaa nasi milele: |
| BSB 3 Grace, mercy, and peace from God the Father and from Jesus Christ, the Son of the Father, will be with us in truth and love. | SWKCV 3 Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwanawe Baba, itakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo. |
| BSB 4 I was overjoyed to find some of your children walking in the truth, just as the Father has commanded us. | SWKCV 4 Imenipa furaha kuu kuona baadhi ya watoto wako wanaenenda katika kweli, kama vile Baba alivyotuagiza. |
| BSB 5 And now I urge you, dear lady—not as a new commandment to you, but one we have had from the beginning—that we love one another. | SWKCV 5 Sasa, bibi mpendwa, si kwamba ninakuandikia amri mpya, bali ile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo. Tupendane kila mmoja na mwenzake. |
| BSB 6 And this is love, that we walk according to His commandments. This is the very commandment you have heard from the beginning, that you must walk in love. | SWKCV 6 Hili ndilo pendo, kwamba tuenende sawasawa na amri zake. Hii ndiyo amri yake kama vile mlivyosikia tangu mwanzo, kwamba mwenende katika upendo. |
| BSB 7 For many deceivers have gone out into the world, refusing to confess the coming of Jesus Christ in the flesh. Any such person is the deceiver and the antichrist. | SWKCV 7 Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili, wametokea ulimwenguni. Mtu wa namna hiyo ni mdanganyifu na mpinga Kristo. |
| BSB 8 Watch yourselves, so that you do not lose what we have worked for, but that you may be fully rewarded. | SWKCV 8 Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu. |
| BSB 9 Anyone who runs ahead without remaining in the teaching of Christ does not have God. Whoever remains in His teaching has both the Father and the Son. | SWKCV 9 Mtu yeyote asiyedumu katika mafundisho ya Kristo, bali akayaacha, yeye hana Mungu. Yeyote anayedumu katika mafundisho ana Baba na Mwana pia. |
| BSB 10 If anyone comes to you but does not bring this teaching, do not receive him into your home or even greet him. | SWKCV 10 Msimpokee mtu yeyote anayewajia ambaye hawaletei mafundisho haya, wala msimkaribishe nyumbani mwenu. |
| BSB 11 Whoever greets such a person shares in his evil deeds. | SWKCV 11 Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo. |
| BSB 12 I have many things to write to you, but I would prefer not to do so with paper and ink. Instead, I hope to come and speak with you face to face, so that our joy may be complete. | SWKCV 12 Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu. |
| BSB 13 The children of your elect sister send you greetings. | SWKCV 13 Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen. |
Questions about 2 John 1? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.