Ezekiel 15
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 Then the word of the LORD came to me, saying, | SWKCV 1 Neno la Bwana likanijia kusema: |
| BSB 2 “Son of man, how does the wood of the vine surpass any other branch among the trees in the forest? | SWKCV 2 “Mwanadamu, je, ni vipi mti wa mzabibu unaweza kuwa bora zaidi kuliko tawi la mti mwingine wowote ndani ya msitu? |
| BSB 3 Can wood be taken from it to make something useful? Or can one make from it a peg on which to hang utensils? | SWKCV 3 Je, mti wake kamwe huchukuliwa na kutengeneza chochote cha manufaa? Je, watu hutengeneza vigingi vya kuningʼinizia vitu kutokana na huo mti wake? |
| BSB 4 No, it is cast into the fire for fuel. The fire devours both ends, and the middle is charred. Can it be useful for anything? | SWKCV 4 Nao baada ya kutiwa motoni kama nishati na moto ukateketeza ncha zote mbili na kuunguza sehemu ya kati, je, unafaa kwa lolote? |
| BSB 5 Even when it was whole, it could not be made useful. How much less can it ever be useful when the fire has consumed it and charred it! | SWKCV 5 Kama haukufaa kitu chochote ulipokuwa mzima, je, si zaidi sana sasa ambapo hauwezekani kufanyishwa chochote cha kufaa baada ya moto kuuchoma na kuuunguza? |
| BSB 6 Therefore this is what the Lord GOD says: ‘Like the wood of the vine among the trees of the forest, which I have given to the fire for fuel, so I will give up the people of Jerusalem. | SWKCV 6 “Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kama nilivyoutoa mti wa mzabibu miongoni mwa miti ya msituni kuwa nishati kwa ajili ya moto, hivyo ndivyo nitakavyowatendea watu waishio Yerusalemu. |
| BSB 7 And I will set My face against them. Though they may have escaped the fire, yet another fire will consume them. And when I set My face against them, you will know that I am the LORD. | SWKCV 7 Nitaukaza uso wangu dhidi yao. Ingawa watakuwa wameokoka kwenye moto, bado moto utawateketeza. Nami nitakapoukaza uso wangu dhidi yao, ninyi mtajua kwamba Mimi ndimi Bwana. |
| BSB 8 Thus I will make the land desolate, because they have acted unfaithfully,’ declares the Lord GOD.” | SWKCV 8 Nitaifanya nchi kuwa ukiwa kwa sababu wamekuwa si waaminifu, asema Bwana Mwenyezi.” |
Questions about Ezekiel 15? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.