Nehemiah 7
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 When the wall had been rebuilt and I had set the doors in place, the gatekeepers, singers, and Levites were appointed. | SWKCV 1 Baada ya ukuta kukamilika kujengwa upya na nikaweka milango, mabawabu wa lango, waimbaji, na Walawi waliteuliwa. |
| BSB 2 Then I put my brother Hanani in charge of Jerusalem, along with Hananiah the commander of the fortress, because he was a faithful man who feared God more than most. | SWKCV 2 Nikamweka Hanani ndugu yangu kuwa kiongozi wa Yerusalemu, pamoja na Hanania jemadari wa ngome, kwa kuwa alikuwa mtu mwadilifu na mwenye kumcha Mungu kuliko watu wengine. |
| BSB 3 And I told them, “Do not open the gates of Jerusalem until the sun is hot. While the guards are on duty, keep the doors shut and securely fastened. And appoint the residents of Jerusalem as guards, some at their posts and some at their own homes.” | SWKCV 3 Nikawaambia, “Malango ya Yerusalemu yasifunguliwe mpaka jua litakapokuwa limepanda. Walinzi wa malango wakiwa bado kwenye zamu, waamuru wafunge milango na waweke makomeo. Pia wateueni wenyeji wa Yerusalemu wawe walinzi, kila mmoja kwenye lindo lake, na wengine karibu na nyumba zao wenyewe.” |
| BSB 4 Now the city was large and spacious, but there were few people in it, and the houses had not yet been rebuilt. | SWKCV 4 Mji ulikuwa mkubwa, tena wenye nafasi nyingi, lakini walikuwepo watu wachache ndani yake, nazo nyumba zilikuwa bado ni magofu. |
| BSB 5 Then my God put it into my heart to assemble the nobles, the officials, and the people to be enrolled by genealogy. I found the genealogical register of those who had first returned, and I found the following written in it: | SWKCV 5 Hivyo Mungu wangu akaweka moyoni mwangu kuwakusanya wakuu, maafisa na watu wa kawaida kwa ajili ya kuorodheshwa kulingana na jamaa zao. Nilikuta orodha ya vizazi ya wale waliokuwa wa kwanza kurudi toka utumwani. Haya ndiyo niliyokuta yameandikwa humo: |
| BSB 6 These are the people of the province who came up from the captivity of the exiles carried away to Babylon by Nebuchadnezzar its king. They returned to Jerusalem and Judah, each to his own town, | SWKCV 6 Hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, |
| BSB 7 accompanied by Zerubbabel, Jeshua, Nehemiah, Azariah, Raamiah, Nahamani, Mordecai, Bilshan, Mispereth, Bigvai, Nehum, and Baanah. This is the count of the men of Israel: | SWKCV 7 wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Azaria, Raamia, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispereti, Bigwai, Nehumu na Baana): Orodha ya wanaume wa Israeli ilikuwa: |
| BSB 8 the descendants of Parosh, 2,172; | SWKCV 8 wazao wa Paroshi 2,172 |
| BSB 9 the descendants of Shephatiah, 372; | SWKCV 9 wazao wa Shefatia 372 |
| BSB 10 the descendants of Arah, 652; | SWKCV 10 wazao wa Ara 652 |
| BSB 11 the descendants of Pahath-moab (through the line of Jeshua and Joab), 2,818; | SWKCV 11 wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,818 |
| BSB 12 the descendants of Elam, 1,254; | SWKCV 12 wazao wa Elamu 1,254 |
| BSB 13 the descendants of Zattu, 845; | SWKCV 13 wazao wa Zatu 845 |
| BSB 14 the descendants of Zaccai, 760; | SWKCV 14 wazao wa Zakai 760 |
| BSB 15 the descendants of Binnui, 648; | SWKCV 15 wazao wa Binui 648 |
| BSB 16 the descendants of Bebai, 628; | SWKCV 16 wazao wa Bebai 628 |
| BSB 17 the descendants of Azgad, 2,322; | SWKCV 17 wazao wa Azgadi 2,322 |
| BSB 18 the descendants of Adonikam, 667; | SWKCV 18 wazao wa Adonikamu 667 |
| BSB 19 the descendants of Bigvai, 2,067; | SWKCV 19 wazao wa Bigwai 2,067 |
| BSB 20 the descendants of Adin, 655; | SWKCV 20 wazao wa Adini 655 |
| BSB 21 the descendants of Ater (through Hezekiah), 98; | SWKCV 21 wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98 |
| BSB 22 the descendants of Hashum, 328; | SWKCV 22 wazao wa Hashumu 328 |
| BSB 23 the descendants of Bezai, 324; | SWKCV 23 wazao wa Besai 324 |
| BSB 24 the descendants of Hariph, 112; | SWKCV 24 wazao wa Harifu 112 |
| BSB 25 the descendants of Gibeon, 95; | SWKCV 25 wazao wa Gibeoni 95 |
| BSB 26 the men of Bethlehem and Netophah, 188; | SWKCV 26 watu wa Bethlehemu na Netofa 188 |
| BSB 27 the men of Anathoth, 128; | SWKCV 27 watu wa Anathothi 128 |
| BSB 28 the men of Beth-azmaveth, 42; | SWKCV 28 watu wa Beth-Azmawethi 42 |
| BSB 29 the men of Kiriath-jearim, Chephirah, and Beeroth, 743; | SWKCV 29 watu wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 |
| BSB 30 the men of Ramah and Geba, 621; | SWKCV 30 watu wa Rama na Geba 621 |
| BSB 31 the men of Michmash, 122; | SWKCV 31 watu wa Mikmashi 122 |
| BSB 32 the men of Bethel and Ai, 123; | SWKCV 32 watu wa Betheli na Ai 123 |
| BSB 33 the men of the other Nebo, 52; | SWKCV 33 watu wa Nebo 52 |
| BSB 34 the descendants of the other Elam, 1,254; | SWKCV 34 wazao wa Elamu 1,254 |
| BSB 35 the descendants of Harim, 320; | SWKCV 35 wazao wa Harimu 320 |
| BSB 36 the men of Jericho, 345; | SWKCV 36 wazao wa Yeriko 345 |
| BSB 37 the men of Lod, Hadid, and Ono, 721; | SWKCV 37 wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 721 |
| BSB 38 and the descendants of Senaah, 3,930. | SWKCV 38 wazao wa Senaa 3,930 |
| BSB 39 The priests: the descendants of Jedaiah (through the house of Jeshua), 973; | SWKCV 39 Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973 |
| BSB 40 the descendants of Immer, 1,052; | SWKCV 40 wazao wa Imeri 1,052 |
| BSB 41 the descendants of Pashhur, 1,247; | SWKCV 41 wazao wa Pashuri 1,247 |
| BSB 42 and the descendants of Harim, 1,017. | SWKCV 42 wazao wa Harimu 1,017 |
| BSB 43 The Levites: the descendants of Jeshua (through Kadmiel, through the line of Hodevah), 74. | SWKCV 43 Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) 74 |
| BSB 44 The singers: the descendants of Asaph, 148. | SWKCV 44 Waimbaji: wazao wa Asafu 148 |
| BSB 45 The gatekeepers: the descendants of Shallum, the descendants of Ater, the descendants of Talmon, the descendants of Akkub, the descendants of Hatita, and the descendants of Shobai, 138 in all. | SWKCV 45 Mabawabu wa malango: wazao wa // Shalumu, Ateri, Talmoni, // Akubu, Hatita na Shobai 138 |
| BSB 46 The temple servants: the descendants of Ziha, the descendants of Hasupha, the descendants of Tabbaoth, | SWKCV 46 Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, |
| BSB 47 the descendants of Keros, the descendants of Sia, the descendants of Padon, | SWKCV 47 wazao wa Kerosi, Sia, Padoni, |
| BSB 48 the descendants of Lebanah, the descendants of Hagabah, the descendants of Shalmai, | SWKCV 48 wazao wa Lebana, Hagaba, Shalmai, |
| BSB 49 the descendants of Hanan, the descendants of Giddel, the descendants of Gahar, | SWKCV 49 wazao wa Hanani, Gideli, Gahari, |
| BSB 50 the descendants of Reaiah, the descendants of Rezin, the descendants of Nekoda, | SWKCV 50 wazao wa Reaya, Resini, Nekoda, |
| BSB 51 the descendants of Gazzam, the descendants of Uzza, the descendants of Paseah, | SWKCV 51 wazao wa Gazamu, Uza, Pasea, |
| BSB 52 the descendants of Besai, the descendants of Meunim, the descendants of Nephushesim, | SWKCV 52 wazao wa Besai, Meunimu, Nefusimu, |
| BSB 53 the descendants of Bakbuk, the descendants of Hakupha, the descendants of Harhur, | SWKCV 53 wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri, |
| BSB 54 the descendants of Bazlith, the descendants of Mehida, the descendants of Harsha, | SWKCV 54 wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha, |
| BSB 55 the descendants of Barkos, the descendants of Sisera, the descendants of Temah, | SWKCV 55 wazao wa Barkosi, Sisera, Tema, |
| BSB 56 the descendants of Neziah, and the descendants of Hatipha. | SWKCV 56 wazao wa Nesia na Hatifa. |
| BSB 57 The descendants of the servants of Solomon: the descendants of Sotai, the descendants of Sophereth, the descendants of Perida, | SWKCV 57 Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida, |
| BSB 58 the descendants of Jaala, the descendants of Darkon, the descendants of Giddel, | SWKCV 58 wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli, |
| BSB 59 the descendants of Shephatiah, the descendants of Hattil, the descendants of Pochereth-hazzebaim, and the descendants of Amon. | SWKCV 59 wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Amoni. |
| BSB 60 The temple servants and descendants of the servants of Solomon numbered 392 in all. | SWKCV 60 Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 |
| BSB 61 The following came up from Tel-melah, Tel-harsha, Cherub, Addon, and Immer, but they could not prove that their families were descended from Israel: | SWKCV 61 Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: |
| BSB 62 the descendants of Delaiah, the descendants of Tobiah, and the descendants of Nekoda, 642 in all. | SWKCV 62 wazao wa // Delaya, Tobia na Nekoda 642 |
| BSB 63 And from among the priests: the descendants of Hobaiah, the descendants of Hakkoz, and the descendants of Barzillai (who had married a daughter of Barzillai the Gileadite and was called by their name). | SWKCV 63 Na kutoka miongoni mwa makuhani: wazao wa Hobaya, Hakosi na Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo). |
| BSB 64 These men searched for their family records, but they could not find them and so were excluded from the priesthood as unclean. | SWKCV 64 Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani, kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. |
| BSB 65 The governor ordered them not to eat the most holy things until there was a priest to consult the Urim and Thummim. | SWKCV 65 Kwa hiyo, mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu. |
| BSB 66 The whole assembly numbered 42,360, | SWKCV 66 Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; |
| BSB 67 in addition to their 7,337 menservants and maidservants, as well as their 245 male and female singers. | SWKCV 67 tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245. |
| BSB 68 They had 736 horses, 245 mules, | SWKCV 68 Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245 |
| BSB 69 435 camels, and 6,720 donkeys. | SWKCV 69 ngamia 435 na punda 6,720. |
| BSB 70 Some of the heads of the families contributed to the project. The governor gave to the treasury 1,000 darics of gold, 50 bowls, and 530 priestly garments. | SWKCV 70 Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000 za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. |
| BSB 71 And some of the heads of the families gave to the treasury for the project 20,000 darics of gold and 2,200 minas of silver. | SWKCV 71 Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu, na mane 2,200 za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. |
| BSB 72 The rest of the people gave a total of 20,000 darics of gold, 2,000 minas of silver, and 67 priestly garments. | SWKCV 72 Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani. |
| BSB 73 So the priests, Levites, gatekeepers, singers, and temple servants, along with some of the people and the rest of the Israelites, settled in their own towns. And by the seventh month the Israelites had settled in their towns. | SWKCV 73 Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao, |
Questions about Nehemiah 7? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.