Psalms 114
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 When Israel departed from Egypt, the house of Jacob from a people of foreign tongue, | SWKCV 1 Wakati Israeli walipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, |
| BSB 2 Judah became God’s sanctuary, Israel His dominion. | SWKCV 2 Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake. |
| BSB 3 The sea observed and fled; the Jordan turned back; | SWKCV 3 Bahari ilitazama ikakimbia, Yordani ulirudi nyuma, |
| BSB 4 the mountains skipped like rams, the hills like lambs. | SWKCV 4 milima ilirukaruka kama kondoo dume, vilima kama wana-kondoo. |
| BSB 5 Why was it, O sea, that you fled, O Jordan, that you turned back, | SWKCV 5 Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, |
| BSB 6 O mountains, that you skipped like rams, O hills, like lambs? | SWKCV 6 enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume, enyi vilima, kama wana-kondoo? |
| BSB 7 Tremble, O earth, at the presence of the Lord, at the presence of the God of Jacob, | SWKCV 7 Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, mbele za Mungu wa Yakobo, |
| BSB 8 who turned the rock into a pool, the flint into a fountain of water! | SWKCV 8 aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji. |
Questions about Psalms 114? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.