Psalms 124
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 A song of ascents. Of David. If the LORD had not been on our side—let Israel now declare— | SWKCV 1 Kama Bwana asingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa: |
| BSB 2 if the LORD had not been on our side when men attacked us, | SWKCV 2 kama Bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia, |
| BSB 3 when their anger flared against us, then they would have swallowed us alive, | SWKCV 3 wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai, |
| BSB 4 then the floods would have engulfed us, then the torrent would have overwhelmed us, | SWKCV 4 mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika, |
| BSB 5 then the raging waters would have swept us away. | SWKCV 5 maji yaendayo kasi yangalituchukua. |
| BSB 6 Blessed be the LORD, who has not given us as prey to their teeth. | SWKCV 6 Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. |
| BSB 7 We have escaped like a bird from the snare of the fowler; the net is torn, and we have slipped away. | SWKCV 7 Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka. |
| BSB 8 Our help is in the name of the LORD, the Maker of heaven and earth. | SWKCV 8 Msaada wetu ni katika jina la Bwana, Muumba wa mbingu na dunia. |
Questions about Psalms 124? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.