Psalms 11
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 For the choirmaster. Of David. In the LORD I take refuge. How then can you say to me: “Flee like a bird to your mountain! | SWKCV 1 Kwa Bwana ninakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako. |
| BSB 2 For behold, the wicked bend their bows. They set their arrow on the string to shoot from the shadows at the upright in heart. | SWKCV 2 Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, huweka mishale kwenye uzi wake, wakiwa gizani ili kuwapiga wale wanyofu wa moyo. |
| BSB 3 If the foundations are destroyed, what can the righteous do?” | SWKCV 3 Wakati misingi imeharibiwa, mwenye haki anaweza kufanya nini?” |
| BSB 4 The LORD is in His holy temple; the LORD is on His heavenly throne. His eyes are watching closely; they examine the sons of men. | SWKCV 4 Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. Huwaangalia wana wa watu, macho yake yanawajaribu. |
| BSB 5 The LORD tests the righteous and the wicked; His soul hates the lover of violence. | SWKCV 5 Bwana huwajaribu wenye haki, lakini waovu na wanaopenda jeuri, nafsi yake huwachukia. |
| BSB 6 On the wicked He will rain down fiery coals and sulfur; a scorching wind will be their portion. | SWKCV 6 Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali na kiberiti kinachowaka, upepo wenye joto kali ndio fungu lao. |
| BSB 7 For the LORD is righteous; He loves justice. The upright will see His face. | SWKCV 7 Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki, yeye hupenda haki. Wanyofu watauona uso wake. |
Questions about Psalms 11? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.