Psalms 111
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 Hallelujah! I will give thanks to the LORD with all my heart in the council of the upright and in the assembly. | SWKCV 1 Msifuni Bwana. Nitamtukuza Bwana kwa moyo wangu wote, katika baraza la wanyofu na katika kusanyiko. |
| BSB 2 Great are the works of the LORD; they are pondered by all who delight in them. | SWKCV 2 Kazi za Bwana ni kuu, wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. |
| BSB 3 Splendid and majestic is His work; His righteousness endures forever. | SWKCV 3 Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, haki yake hudumu daima. |
| BSB 4 He has caused His wonders to be remembered; the LORD is gracious and compassionate. | SWKCV 4 Amefanya maajabu yake yakumbukwe, Bwana ni mwenye neema na huruma. |
| BSB 5 He provides food for those who fear Him; He remembers His covenant forever. | SWKCV 5 Huwapa chakula wale wanaomcha, hulikumbuka agano lake milele. |
| BSB 6 He has shown His people the power of His works by giving them the inheritance of the nations. | SWKCV 6 Amewaonyesha watu wake uwezo wa kazi zake, akiwapa nchi za mataifa mengine. |
| BSB 7 The works of His hands are truth and justice; all His precepts are trustworthy. | SWKCV 7 Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, mausia yake yote ni ya kuaminika. |
| BSB 8 They are upheld forever and ever, enacted in truth and uprightness. | SWKCV 8 Zinadumu milele na milele, zikifanyika kwa uaminifu na unyofu. |
| BSB 9 He has sent redemption to His people; He has ordained His covenant forever; holy and awesome is His name. | SWKCV 9 Aliwapa watu wake ukombozi, aliamuru agano lake milele: jina lake ni takatifu na la kuogopwa. |
| BSB 10 The fear of the LORD is the beginning of wisdom; all who follow His precepts gain rich understanding. His praise endures forever! | SWKCV 10 Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, wote wanaozifuata amri zake wana busara. Sifa zake zadumu milele. |
Questions about Psalms 111? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.