Psalms 138
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 Of David. I give You thanks with all my heart; before the gods I sing Your praises. | SWKCV 1 Nitakusifu wewe, Ee Bwana, kwa moyo wangu wote, mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako. |
| BSB 2 I bow down toward Your holy temple and give thanks to Your name for Your loving devotion and Your faithfulness; You have exalted Your name and Your word above all else. | SWKCV 2 Nitasujudu nikielekea Hekalu lako takatifu, nami nitalisifu jina lako kwa ajili ya upendo wako na uaminifu, kwa kuwa umelikuza jina lako na neno lako juu ya vitu vyote. |
| BSB 3 On the day I called, You answered me; You emboldened me and strengthened my soul. | SWKCV 3 Nilipoita, ulinijibu; ulinifanya jasiri na mwenye moyo hodari. |
| BSB 4 All the kings of the earth will give You thanks, O LORD, when they hear the words of Your mouth. | SWKCV 4 Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee Bwana, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako. |
| BSB 5 They will sing of the ways of the LORD, for the glory of the LORD is great. | SWKCV 5 Wao na waimbe kuhusu njia za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu. |
| BSB 6 Though the LORD is on high, He attends to the lowly; but the proud He knows from afar. | SWKCV 6 Ingawa Bwana yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali. |
| BSB 7 If I walk in the midst of trouble, You preserve me from the anger of my foes; You extend Your hand, and Your right hand saves me. | SWKCV 7 Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa. |
| BSB 8 The LORD will fulfill His purpose for me. O LORD, Your loving devotion endures forever—do not abandon the works of Your hands. | SWKCV 8 Bwana atatimiza kusudi lake kwangu, Ee Bwana, upendo wako wadumu milele: usiziache kazi za mikono yako. |
Questions about Psalms 138? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.