Psalms 14
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 For the choirmaster. Of David. The fool says in his heart, “There is no God.” They are corrupt; their acts are vile. There is no one who does good. | SWKCV 1 Mpumbavu anasema moyoni mwake, “Hakuna Mungu.” Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; hakuna hata mmoja atendaye mema. |
| BSB 2 The LORD looks down from heaven upon the sons of men to see if any understand, if any seek God. | SWKCV 2 Bwana anawachungulia wanadamu chini kutoka mbinguni aone kama wako wenye akili, wowote wanaomtafuta Mungu. |
| BSB 3 All have turned away, they have together become corrupt; there is no one who does good, not even one. | SWKCV 3 Wote wamepotoka, wameharibika wote pamoja, hakuna atendaye mema. Naam, hakuna hata mmoja! |
| BSB 4 Will the workers of iniquity never learn? They devour my people like bread; they refuse to call upon the LORD. | SWKCV 4 Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti Bwana? |
| BSB 5 There they are, overwhelmed with dread, for God is in the company of the righteous. | SWKCV 5 Wako hapo, wameingiwa na hofu kuu, maana Mungu yupo pamoja na wenye haki. |
| BSB 6 You sinners frustrate the plans of the oppressed, yet the LORD is their shelter. | SWKCV 6 Ninyi watenda mabaya mnakwamisha mipango ya maskini, bali Bwana ndiye kimbilio lao. |
| BSB 7 Oh, that the salvation of Israel would come from Zion! When the LORD restores His captive people, let Jacob rejoice, let Israel be glad! | SWKCV 7 Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! Wakati Bwana arejeshapo wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi! |
Questions about Psalms 14? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.