Psalms 88
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 A song. A Psalm of the sons of Korah. For the choirmaster. According to Mahalath Leannoth. A Maskil of Heman the Ezrahite. O LORD, the God of my salvation, day and night I cry out before You. | SWKCV 1 Ee Bwana, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana. |
| BSB 2 May my prayer come before You; incline Your ear to my cry. | SWKCV 2 Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. |
| BSB 3 For my soul is full of troubles, and my life draws near to Sheol. | SWKCV 3 Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi. |
| BSB 4 I am counted among those descending to the Pit. I am like a man without strength. | SWKCV 4 Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu. |
| BSB 5 I am forsaken among the dead, like the slain who lie in the grave, whom You remember no more, who are cut off from Your care. | SWKCV 5 Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. |
| BSB 6 You have laid me in the lowest Pit, in the darkest of the depths. | SWKCV 6 Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene. |
| BSB 7 Your wrath weighs heavily upon me; all Your waves have submerged me. Selah | SWKCV 7 Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote. |
| BSB 8 You have removed my friends from me; You have made me repulsive to them; I am confined and cannot escape. | SWKCV 8 Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka; |
| BSB 9 My eyes grow dim with grief. I call to You daily, O LORD; I spread out my hands to You. | SWKCV 9 nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu. |
| BSB 10 Do You work wonders for the dead? Do departed spirits rise up to praise You? Selah | SWKCV 10 Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu? |
| BSB 11 Can Your loving devotion be proclaimed in the grave, Your faithfulness in Abaddon? | SWKCV 11 Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu? |
| BSB 12 Will Your wonders be known in the darkness, or Your righteousness in the land of oblivion? | SWKCV 12 Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu? |
| BSB 13 But to You, O LORD, I cry for help; in the morning my prayer comes before You. | SWKCV 13 Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako. |
| BSB 14 Why, O LORD, do You reject me? Why do You hide Your face from me? | SWKCV 14 Ee Bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako? |
| BSB 15 From my youth I was afflicted and near death. I have borne Your terrors; I am in despair. | SWKCV 15 Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. |
| BSB 16 Your wrath has swept over me; Your terrors have destroyed me. | SWKCV 16 Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza. |
| BSB 17 All day long they engulf me like water; they enclose me on every side. | SWKCV 17 Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. |
| BSB 18 You have removed my beloved and my friend; darkness is my closest companion. | SWKCV 18 Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote. |
Questions about Psalms 88? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.