Psalms 128
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 A song of ascents. Blessed are all who fear the LORD, who walk in His ways! | SWKCV 1 Heri ni wale wote wamchao Bwana, waendao katika njia zake. |
| BSB 2 For when you eat the fruit of your labor, blessings and prosperity will be yours. | SWKCV 2 Utakula matunda ya kazi yako; baraka na mafanikio vitakuwa vyako. |
| BSB 3 Your wife will be like a fruitful vine flourishing within your house, your sons like olive shoots sitting around your table. | SWKCV 3 Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao ndani ya nyumba yako; wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni kuizunguka meza yako. |
| BSB 4 In this way indeed shall blessing come to the man who fears the LORD. | SWKCV 4 Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Bwana. |
| BSB 5 May the LORD bless you from Zion, that you may see the prosperity of Jerusalem all the days of your life, | SWKCV 5 Bwana na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu, |
| BSB 6 that you may see your children’s children. Peace be upon Israel! | SWKCV 6 nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. Amani iwe juu ya Israeli. |
Questions about Psalms 128? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.