Psalms 130
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 A song of ascents. Out of the depths I cry to You, O LORD! | SWKCV 1 Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. |
| BSB 2 O Lord, hear my voice; let Your ears be attentive to my plea for mercy. | SWKCV 2 Ee Bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie. |
| BSB 3 If You, O LORD, kept track of iniquities, then who, O Lord, could stand? | SWKCV 3 Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? |
| BSB 4 But with You there is forgiveness, so that You may be feared. | SWKCV 4 Lakini kwako kuna msamaha, kwa hiyo wewe unaogopwa. |
| BSB 5 I wait for the LORD; my soul does wait, and in His word I put my hope. | SWKCV 5 Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu. |
| BSB 6 My soul waits for the Lord more than watchmen wait for the morning—more than watchmen wait for the morning. | SWKCV 6 Nafsi yangu inamngojea Bwana kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, naam, kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi. |
| BSB 7 O Israel, put your hope in the LORD, for with the LORD is loving devotion, and with Him is redemption in abundance. | SWKCV 7 Ee Israeli, mtumaini Bwana, maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili. |
| BSB 8 And He will redeem Israel from all iniquity. | SWKCV 8 Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote. |
Questions about Psalms 130? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.