Psalms 26
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 Of David. Vindicate me, O LORD! For I have walked with integrity; I have trusted in the LORD without wavering. | SWKCV 1 Ee Bwana, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia Bwana bila kusitasita. |
| BSB 2 Test me, O LORD, and try me; examine my heart and mind. | SWKCV 2 Ee Bwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; |
| BSB 3 For Your loving devotion is before my eyes, and I have walked in Your truth. | SWKCV 3 kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako. |
| BSB 4 I do not sit with deceitful men, nor keep company with hypocrites. | SWKCV 4 Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki, |
| BSB 5 I hate the mob of evildoers, and refuse to sit with the wicked. | SWKCV 5 ninachukia kusanyiko la watenda mabaya na ninakataa kuketi pamoja na waovu. |
| BSB 6 I wash my hands in innocence that I may go about Your altar, O LORD, | SWKCV 6 Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, |
| BSB 7 to raise my voice in thanksgiving and declare all Your wonderful works. | SWKCV 7 nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. |
| BSB 8 O LORD, I love the house where You dwell, the place where Your glory resides. | SWKCV 8 Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, mahali ambapo utukufu wako hukaa. |
| BSB 9 Do not take my soul away with sinners, or my life with men of bloodshed, | SWKCV 9 Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu, |
| BSB 10 in whose hands are wicked schemes, whose right hands are full of bribes. | SWKCV 10 ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. |
| BSB 11 But I will walk with integrity; redeem me and be merciful to me. | SWKCV 11 Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; nikomboe na unihurumie. |
| BSB 12 My feet stand on level ground; in the congregations I will bless the LORD. | SWKCV 12 Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu Bwana. |
Questions about Psalms 26? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.