Psalms 3
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 A Psalm of David, when he fled from his son Absalom. O LORD, how my foes have increased! How many rise up against me! | SWKCV 1 Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! |
| BSB 2 Many say of me, “God will not deliver him.” Selah | SWKCV 2 Wengi wanasema juu yangu, “Mungu hatamwokoa.” |
| BSB 3 But You, O LORD, are a shield around me, my glory, and the One who lifts my head. | SWKCV 3 Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. |
| BSB 4 To the LORD I cry aloud, and He answers me from His holy mountain. Selah | SWKCV 4 Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. |
| BSB 5 I lie down and sleep; I wake again, for the LORD sustains me. | SWKCV 5 Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza. |
| BSB 6 I will not fear the myriads set against me on every side. | SWKCV 6 Sitaogopa makumi elfu ya adui, wanaojipanga dhidi yangu kila upande. |
| BSB 7 Arise, O LORD! Save me, O my God! Strike all my enemies on the jaw; break the teeth of the wicked. | SWKCV 7 Ee Bwana, amka! Niokoe, Ee Mungu wangu! Wapige adui zangu wote kwenye taya, vunja meno ya waovu. |
| BSB 8 Salvation belongs to the LORD; may Your blessing be on Your people. Selah | SWKCV 8 Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. Baraka yako na iwe juu ya watu wako. |
Questions about Psalms 3? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.