Psalms 4
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 For the choirmaster. With stringed instruments. A Psalm of David. Answer me when I call, O God of my righteousness! You have relieved my distress; show me grace and hear my prayer. | SWKCV 1 Nijibu nikuitapo, Ee Mungu wangu mwenye haki! Nipumzishe katika shida zangu; nirehemu, usikie ombi langu. |
| BSB 2 How long, O men, will my honor be maligned? How long will you love vanity and seek after lies? Selah | SWKCV 2 Enyi watu, mtabadilisha utukufu wangu kuwa aibu mpaka lini? Mtapenda udanganyifu na kufuata miungu ya uongo mpaka lini? |
| BSB 3 Know that the LORD has set apart the godly for Himself; the LORD hears when I call to Him. | SWKCV 3 Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga wale wamchao kwa ajili yake; Bwana atanisikia nimwitapo. |
| BSB 4 Be angry, yet do not sin; on your bed, search your heart and be still. Selah | SWKCV 4 Katika hasira yako, usitende dhambi. Mkiwa vitandani mwenu, mtulie kimya mkiichunguza mioyo yenu. |
| BSB 5 Offer the sacrifices of the righteous and trust in the LORD. | SWKCV 5 Toeni dhabihu zilizo haki; mtegemeeni Bwana. |
| BSB 6 Many ask, “Who can show us the good?” Shine the light of Your face upon us, O LORD. | SWKCV 6 Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye kutuonyesha jema lolote?” Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. |
| BSB 7 You have filled my heart with more joy than when grain and new wine abound. | SWKCV 7 Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi. |
| BSB 8 I will lie down and sleep in peace, for You alone, O LORD, make me dwell in safety. | SWKCV 8 Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee Bwana, waniwezesha kukaa kwa salama. |
Questions about Psalms 4? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.