Psalms 140
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 For the choirmaster. A Psalm of David. Rescue me, O LORD, from evil men. Protect me from men of violence, | SWKCV 1 Ee Bwana, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri, |
| BSB 2 who devise evil in their hearts and stir up war all day long. | SWKCV 2 ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, na kuchochea vita siku zote. |
| BSB 3 They sharpen their tongues like snakes; the venom of vipers is on their lips. Selah | SWKCV 3 Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka iko midomoni mwao. |
| BSB 4 Guard me, O LORD, from the hands of the wicked. Keep me safe from men of violence who scheme to make me stumble. | SWKCV 4 Ee Bwana, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu. |
| BSB 5 The proud hide a snare for me; the cords of their net are spread along the path, and lures are set out for me. Selah | SWKCV 5 Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa, wametandaza kamba za wavu wao, wametega mitego kwenye njia yangu. |
| BSB 6 I say to the LORD, “You are my God.” Hear, O LORD, my cry for help. | SWKCV 6 Ee Bwana, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.” Ee Bwana, usikie kilio changu na kunihurumia. |
| BSB 7 O GOD the Lord, the strength of my salvation, You shield my head in the day of battle. | SWKCV 7 Ee Bwana Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu, unikingaye kichwa changu siku ya vita: |
| BSB 8 Grant not, O LORD, the desires of the wicked; do not promote their evil plans, lest they be exalted. Selah | SWKCV 8 Ee Bwana, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu. |
| BSB 9 May the heads of those who surround me be covered in the trouble their lips have caused. | SWKCV 9 Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe na shida zinazosababishwa na midomo yao. |
| BSB 10 May burning coals fall on them; may they be thrown into the fire, into the miry pits, never to rise again. | SWKCV 10 Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe. |
| BSB 11 May no slanderer be established in the land; may calamity hunt down the man of violence. | SWKCV 11 Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi; maafa na yawawinde watu wenye jeuri. |
| BSB 12 I know that the LORD upholds justice for the poor and defends the cause of the needy. | SWKCV 12 Najua kwamba Bwana huwapatia maskini haki, na kuitegemeza njia ya mhitaji. |
| BSB 13 Surely the righteous will praise Your name; the upright will dwell in Your presence. | SWKCV 13 Hakika wenye haki watalisifu jina lako, na waadilifu wataishi mbele zako. |
Questions about Psalms 140? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.