Psalms 46
| Berean Standard Bible tier 2 | Kiswahili Contemporary Version tier 3 |
|---|---|
| BSB 1 For the choirmaster. Of the sons of Korah. According to Alamoth. A song. God is our refuge and strength, an ever-present help in times of trouble. | SWKCV 1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. |
| BSB 2 Therefore we will not fear, though the earth is transformed and the mountains are toppled into the depths of the seas, | SWKCV 2 Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari. |
| BSB 3 though their waters roar and foam and the mountains quake in the surge. Selah | SWKCV 3 Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake. |
| BSB 4 There is a river whose streams delight the city of God, the holy place where the Most High dwells. | SWKCV 4 Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. |
| BSB 5 God is within her; she will not be moved. God will help her when morning dawns. | SWKCV 5 Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema. |
| BSB 6 Nations rage, kingdoms crumble; the earth melts when He lifts His voice. | SWKCV 6 Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. |
| BSB 7 The LORD of Hosts is with us; the God of Jacob is our fortress. Selah | SWKCV 7 Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. |
| BSB 8 Come, see the works of the LORD, who brings devastation upon the earth. | SWKCV 8 Njooni mkaone kazi za Bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi. |
| BSB 9 He makes wars to cease throughout the earth; He breaks the bow and shatters the spear; He burns the shields in the fire. | SWKCV 9 Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto. |
| BSB 10 “Be still and know that I am God; I will be exalted among the nations, I will be exalted over the earth.” | SWKCV 10 “Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.” |
| BSB 11 The LORD of Hosts is with us; the God of Jacob is our fortress. Selah | SWKCV 11 Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. |
Questions about Psalms 46? Ask — answers come only from the text, with every claim marked.